SIMU.TV: Taifa Stars na Algeria wazichapa katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam ili kufuzu kuwania kombe la dunia; https://youtu.be/i5DZb0UDAZU
SIMU.TV Mambo ya Samatta sio ya kitoto licha ya mpira kuwa wa moto kwelikweli kwa timu zote mbili za Taifa stars na timu ya Algeria; https://youtu.be/c6swRxcEjm8
SIMU.TV Huku ni kukosa bahati kwa mechi ya leo au? Angalia hali ilivyo dimbani kipindi cha kwanza. Hebu toa tathmini yako binafsi ; https://youtu.be/_9xKvwLCrEg
SIMU.TV Mgagaa na upwa hali wali mkavu bwana, baada ya dakika kadhaa za utulivu Tanzania inajipatia goli la kwanza kupitia mchezaji Mwinyi Haji katika dakika ya 43;https://youtu.be/iiH5fEKY1OI
SIMU.TV Mbwana Samatta wacha kabisa habari yake, hebu ona alivyokuwa akipiga mpira kwa kujiamini mwishoe aipatia Tanzania goli la 2; https://youtu.be/m2YPwqOU5_4
SIMU.TV Algeria washambulia mlango wa Tanzania, shambulizi linazaa matunda na wanailipa Taifa Stars SARE YA 2-2; https://youtu.be/bwo05uywuhw
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...