SIMU.TV: Askari mmoja afariki na watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakifanyia doria kupinduka Mkoani Singida; https://youtu.be/nonF7IsMrkQ
SIMU.TV: Kamati kuu ya CCM pamoja na wabunge wa CCM kukutana kesho mkoani Dodoma ili kumalizia mchakato wa kutafuta spika, https://youtu.be/dDcHPQG7-M4
SIMU.TV: Polisi Geita yawakamata watuhumiwa watatu kwa makosa ya uhalifu wa kulipua bomu na kutishia usalama wa raia wakidai fedha; https://youtu.be/RllAKgqu6C4
SIMU.TV: Kamati kuu ya CCM pamoja na wabunge wa CCM kukutana kesho mkoani Dodoma ili kumalizia mchakato wa kutafuta spika, http://simu.tv/023GKcv
SIMU.TV: Wakazi Mkoani Dodoma wadai kutoridhishwa na bunge lililopita na kuwataka wabunge wapya kuweka maslahi ya wananchi kwanza;https://youtu.be/s4TU69b4Oqc
SIMU.TV: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoani Geita afariki dunia baada ya kukatwa na mapanga na watu wasiofahamika; https://youtu.be/53uDq4xf84M
SIMU.TV: Polisi Geita yawakamata watuhumiwa watatu kwa makosa ya uhalifu wa kulipua bomu na kutishia usalama wa raia wakidai fedha; https://youtu.be/QPErNoFzUiI
SIMU.TV: Wanasheria waingilia kati suala la Zanzibar na kuvomba vyombo vinavyohusika kushughulikia tatizo hilo mapema; https://youtu.be/h5rgJkrSEHU
SIMU.TV: Wananchi watakiwa kujijengea tabia ya kufanya mazoezi ili kuepukana na ugonjwa wa kisukari ambao umesababisha vifo mil 4.9, https://youtu.be/WNc_m8v9EjY
SIMU.TV: Baadhi wa wanajeshi wastaafu mkoani mbeya wameipongeza serikali Kwa kuwasajiri katika mifuko ya hifadhi ya jamii ili kupata matibabu burehttps://youtu.be/2EXnWS1M0fo
SIMU.TV: Vijiji vinne wilayani Mheza mkoani Tanga wataanza kunufaika na mradi wa maji ulioanzishwa baada ya kuteseka kwa muda mrefu: https://youtu.be/QtAa-R_o-Sc
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Manyara Dkt. Joel Bendera amewaagiza mfuko wa maendeleo ya jamii TASAFU kunusuru kaya maskini: https://youtu.be/hWirL5Pm-r8
SIMU.TV: Serikali imeunda kamati maalumu Mererani mkoani Arusha kwa ajili ya kutatua matatizo yanayowakabili wachimbaji madini: https://youtu.be/tWpLyP7LOh4
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...