Mazingira ya Pembezoni mwa Reli ya Mitaa ya Mnyamani Buguruni jijini Dar es Salaam ikiwa Dampo lipo hapo pamoja na mkusanyiko wa maji kwa sababu hayana kwa kuelekea. Wakazi wa maeneo haya wako hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na maji yaliyotuama maeneo haya.
Inawezekana kuwa na kiwanda cha uzalishaji wa Mbu na magonjwa ya mlipuko nkatika eneo la Mnyamani Buguruni bila shaka.....
Maisha yanaenda ikiwa ni hatari endapo usafiri wa eneo hili unapopita wananchi. Hii ni kwa usalama wa raia tuu.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
Uchafu ndio unaoleta kipindupindu. Serikali za mitaa zianze kuwajibishwa
ReplyDelete