Jumapili iliyoisha ya tarehe 08.11. 2015, wanawake mbali mbali jijini Dar es salaam
walikutana katika tamasha la kitchen party gala likiwa limebeba ujumbe wa
mwanamke simama na timiza ndoto zako.
Wanawake
wakiwa wamevalia khanga ambayo ndio ilikuwa dress code ya tamasha walikusanyika
kwa wingi kwa ajili ya kupata mafunzo na ushauri bila kusahau burudani.
Pia Ilichezeshwa droo ya kushinda safari ya Afrika Kusini
kwa siku mbili alishinda, iliyodhaminiwa na kinyago tours. Pamoja na droo ya kumtafuta Mshindi wa safari ya Mikumi national park nae
alipatikana akapokea certificate toka kwa mkurugenzi wa
kinyago tours bi Diana.
Muongoza shughuli Dina Marios akisisitiza jambo.
Ilichezeshwa droo ya kushinda safari ya Afrika Kusini
kwa siku mbili na huyu dada ndio alishinda.Atasafiri na mumewe mtarajiwa na
imedhaminiwa na kinyago tours.
Mshindi wa safari ya Mikumi National Park nae
Bi. Edna Haki Ngowi akipokea certificate toka kwa mkurugenzi wa
kinyago tours bi Diana
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...