Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakati waliposimama kwa muda mjini  Morogoro wakiwa njiani kuelekea Dar es salaam wakitoka Dodoma kwa gari leo Novemba 22, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi askari siku hizi hawafati kanuni ya "mwenye cheo awe kulia"?

    ReplyDelete
  2. P.M Majaliwa nimuonavyo mimi ni mtu mwenye aibu aibu, hapendi kuangalia mtu machoni...sasa atapambana vipi na wapenda rushwa na wabadhilifu sugu wa mali za umma? atawaonea aibu?..ni maoni yangu..au ukitaka kuuwa nyani usimwangalie usoni?
    Tusubiri siku 100.

    ReplyDelete
  3. Tupige vita vitambi!

    ReplyDelete
  4. Ukitaka kumpiga nyani usimwangalie usoni, piga uwa tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...