Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam wakisubiria usafiri wa kuelekea Mikoa mbalimbali, leo.
Abilia wakiwa wamejipumzisha chini ya mti katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam leo.
Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, wakiimarisha usalama wa malizao, leo.
Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii.
Vp mheshimiwa Ankal, hii taa yetu ya jamii haina mhakiki?
ReplyDeleteLugha hii si sawa jamani. Abilia si neno la kiswahili. Yatakiwa liandikwe ABIRIA kwa kutumia herufi R na wala si Herufi L.
Tupotoshapo matumizi ya maneno katika upashanaji habari tujue wanaojifunza lugha pia wanapotoka. Tatizo hili la matumizi mabovu ya herufi R na L pia huyabaini sana katika televisheni ya michuzi ambayo kuna kijana huyo huwezi kabisa kutamka herufi R.
Ankal tumbua jipu hili tafadhali.
Mndengereko Ukerewe
Ni Abiria Jamani sio Abilia, mbona waandishi wanaandika kiswahili kibovu hivyo. Editor kazi yake ni nini??
ReplyDeleteKiswahili cha wapi hicho? Abilia?
ReplyDeleteKuna makosa madogo madogo. Kuna makabila wana badilisha R kuwa L na L kuwa R. Pia nimeona neno onyesha linaandikwa onesha mara nyingine. Ila shukurani michuzi kwa habari katika blig yako. Viva Michuzi TV!
ReplyDeleteWatu kama hao watapaje ruhusa ya kuwa mbele ya TV ilhali lafdhi zao zimejaa L mahali pa R.
ReplyDelete