Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na
Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien
Ndikuriyo aliyemtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na
Balozi wa Rwanda nchini Mhe Mhe. Prefere Ndayishimiye
aliyesimama katikati ni Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa
Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo.
Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akimsikiliza kwa
umakini Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe
Reverien Ndikuriyo alipofanya mazungumzo naye ofisi kwake
jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson (aliyeko
katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Burundi
nchini Mhe. Prefere Ndayishimiye (kulia), Rais wa na Rais wa
Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien
Ndikuriyo (kushoto).
Our Deputy Speaker still looks like a young academic/lecturer in her style of dress. She should aim to transform her wardrobe into a more stately style more becoming of her new position.
ReplyDeleteanon wa hapo juu umesema jambo muhimu sana.
ReplyDeleteacademician wengi huchukua muda kubadilika wanadhani bado wap[o darasani wanafundisha vyuoni. kuvaa kutembea na kuongea kuendane na hadhi na cheo chake cha sasa.
asijekuonekana kituko.