Viongozi wa Makanisa mbalimbali ya mkoani Dodoma wakiwa wameshika picha za Rais Dk.John Magufuli, Waziri Mkuu, Majaliwa Kasimu Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu wakati wa kufanya maombi ya kuwaombea yaliyofanyika mjini Dodoma juzi. Maombi hayo yaliongozwa na Askofu wa Kanisa la Good News for All Ministry International la jijini Dar es Salaam.
 Viongozi hao na waumini wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maombi hayo.
Picha ya pamoja ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wakati wa maombi hayo. Maombi hayo yalifanyika mjini humo baada ya viongozi hao na waumini mbalimbali kushiriki kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk. John Pombe Magufuli la kuitumia siku ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru kufanya usafi nchi nzima.Picha na Dotto Mwaibale.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...