SIMU.TV: Rais Magufuli ametangaza baraza la mawaziri na kuonya siyo furaha ya kujiimarisha kiuchumi.Baraza lake dogo laokoa bilioni.23;https://youtu.be/Vxe3Lcz80R4
SIMU.TV: Baraza la rais Magufuli lachambuliwa. WHO yaimwagia wizara ya afya vifaa vya milioni 580. Kipindupindu chalipuka Geita;https://youtu.be/JLPmCTBwT-c
SIMU.TV: Profesa Lipumba, Lissu wamkataa Muhongo kuteuliwa uwaziri. Home shopping center wafunguka ukwepaji kodi; https://youtu.be/c3hH1Ljwtso
SIMU.TV: BMT yataka vyama vya michezo kujipanga mapema. Majeruhi Yanga kama Arsenal. Wasanii kumuombea rais Magufuli Desemba 25;https://youtu.be/5G920WeoM8Q
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...