Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Unajua ukisha-jityuni kwamba unakwaa pipa, tiketi za ndege na hoteli zimeshakuja na impresti imeshasainiwa, kuahirisha safari inakuwa sheeeda. Nadhani ndicho kilichowakuta hawa jamaa walioamua kwenda majuu ‘no mata wati’!!!

    ReplyDelete
  2. Sasa tunaona fahari kuwa na Rais kama huyu. Mi nadhani hawa walitaka kupima seriousness yake. Sasa amedhibitisha kuwa anachosema huwa hatanii. Hutuba ya Bunge wameisikia. Tuache kudharau maagizo ya viongozi wa kitaifa. Mheshimiwa Rais safi sana. Nchi itanyoka tu. Sasa hivi ukisema unatoka Tanzania ni heshima tupu. Mungu awape maisha marefu..Rais, Katibu Mkuu na Waziri Mkuu.

    ReplyDelete
  3. It will take time but people will come to realise that the new chapter in our history has been turned. There was this almost palpable sense of self importance or culture of arrogance where some civil (?) servants thought they were untouchable. The laws were there but not for them.

    ReplyDelete
  4. Safiii sana, tumbua majipu baba pasua kabisa.

    ReplyDelete
  5. Jamaa bundesliga kweli, safari zimekwatwa hamsikii. Msala ndo huoo!!

    ReplyDelete
  6. JPM has ALWAYS been serious in his governing style,
    Tumeona utendaji wake kwenye wizara alizopita.
    Truly this is a new chapter.
    On the "untouchables", this group consisted of not only civil (?) servants, it covered private sector servants and 'wafanyabiashara' likewise, this calibre came to be known as "wapigaji", this nickname GLORIFIED WIZI.

    Mtu anaendesha gari ya milioni 300 HAULIZWI KITU NA PCCB, ambayo ni moja ya kazi yao. Maisha anayoishi mtu, mali alizokuwa nazo, haziwiani na kipato chake anaangaliwa tu! mpaka inakuwa KAWAIDA...

    Time up! JPM kamua babaake...
    They knew it was coming! and that is why they kept fantasizing on "kutaka mabadiliko" haya makonteina 3000 tusingekuja yasikia!
    Na ingekuwa kila siku yanatoka makontainer 2000 kiulaiiiiiini...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...