Wachimbaji kadhaa wafukiwa na kifusi katika kijiji cha Sangambi wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuokoa uhai wao zinaendelea muda huu. Ripota wa Globu ya Jamii, Deo Kakuru yupo eneo la tukio hivi sasa na ataendelea kutupatia kilichojiri huko.
Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...