Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa awasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kigoma mchana huu, tayari kwa kuanza ziara ya kikazi Mkoani humo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa skafu na vijana wa Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi, Mkoani Kigoma mara baada ya kuwasili.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Kigoma iliyofika kwenye Uwanja wa Ndege kumlaki.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia kikundi cha ngoma cha akina mama wa ujiji Mkoani Kigoma.
Kwaya ya vijana wa JKT Bulombora 821 wakitumbuiza kwenye uwanja wa ndege wakati wa mapokezo ya Waziri Mkuu.Picha na Editha Karlo, Globu ya Jamii, Kigoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi marufuku ya mikutano ya siasa ni kwa wapinzani tu au hata chama tawala CCM?

    je kuna uhalali wa waziri mkuu kufanya mikutano ya kisiasa huku akizuia wenzake kufanya hivyo?

    Suala lingine ni CHIPUKIZI. Watoto wanapoteza muda wa masomo. CHIPUKIZI NI JIPU linapaswa kutumbuliwa.

    wanakwaya wa JKT nakuhakikishia hiyo ni mbinu tu ya kutega kazi. Nimepitia Jkt i know what is going on.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...