Golikipa wa
JKT Ruvu, Shaban Dihile akipishana na mpira uliopigwa na mchezaji wa Coastal
Union, Nassoro Kapama katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Timu hizo
zilitoka sare ya 2-2. (Picha na Francis Dande)
Issa Ngao (kushoto), akimtoka mchezaji wa Coastal Union ya Tanga.
Hamis Shango (kushoto) akichuana na Chidiebere Abasalim.
Mchezaji wa Coastal Union ya Tanga, Chidiebere Abasalim (katikati) akiwania mpira na wachezaji wa JKT Ruvu.
Wachezaji wa JKT Ruvu wakishangilia baada ya kupata bao la pili.
Mchezaji wa JKT Ruvu akimiliki mpira.
Juma Mahadhi (kushoto) akichuana na Hamis Shango.
Issa Ngao (kushoto), akimtoka mchezaji wa Coastal Union ya Tanga.
Hamis Shango (kushoto) akichuana na Chidiebere Abasalim.
Mchezaji wa Coastal Union ya Tanga, Chidiebere Abasalim (katikati) akiwania mpira na wachezaji wa JKT Ruvu.
Mchezaji wa JKT Ruvu akimiliki mpira.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...