Mbeya city yatoka sale na Mgambo Jkt kwa mabao ya
goli 1-1 ambapo Goli la Timu ya Mbeya City Fc lilifungwa na
Abdalla Juma Dakika ya 30 huku Fully Zullu Maganga akisawazisha na kuipatia Goli Timu ya
Mgambo Jkt Dakika ya 71 katika Mtanange uliochezwa katika Uwanja
wa Sokoine Jijini Mbeya katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Vodacom
Tanzania Bara.
Kikosi cha Timu ya Mgambo Jkt katika Picha ya Pamoja
Kabla ya mechi kuanza.
Kikosi cha Timu ya Mbeya City Wakoma
Kumwanya.
Mashabiki wa Timu ya Mbeya City wakishangilia Timu
yao.
Kocha Mpya wa Timu ya Mbeya City FC Abdul Mwingange akizungumza jambo na Waandishi wa Habari baada ya Mtanange huo
kumalizika.
PICHA NA MR.PENGO
MBEYA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...