_DSC0018 Mashindano ya mpinga cup, fainali zake zimemalizika jana jioni kwa mtanange uliozikutanisha timu ya Oxford ya Mbagala Majimatitu dhidi ya Gussepe FC  ya Mzambarauni, ambapo matokeo yalikwenda vyema kwa timu Gusepe kwa kuwachapa wapinzani wao Bao 4 kwa 2 zilizopatikana kwa Mikwaju ya penati.

Hivyo mshindi wa kwanza katika fainali hizo alijinyakulia Ng'ombe mzima, huku Mshindi wa pili Oxford alizawadiwa Mbuzi na mshindi wa tatu Kazembe boys wamechukua Jezi pea moja. 

Mgeni rasmi katika fainali hizo, alikuwa ni Diwani wa Kata ya Kilungule, Mh.  Said Fella ambaye alikabidhi zawadi hizo kwa washindi wote katika mchezo ambao ulimalizika jana katika viwanja vya Maji matitu.
_DSC0014

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...