FAMILIA ya Marehemu Mzee Anthony Kazimoto Ritte wa Kinondoni B jijini Dar es Salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Apolito Anthony Ritte kilichotokea katika Hospitali ya Muhimbili saa sita usiku wa kuamkia tarehe 05/12/2015. Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano tarehe  09/12/2015 katika makaburi ya Kinondoni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...