Serikali yasitisha zoezi la bomoa bomoa katika eneo la masimbazi jijini Dar es salaam hadi Januari 5 ilikutoa fursa kwa watu kuhamisha vitu vyao. https://youtu.be/_3SQgsbgMwY
Watendaji wa wizara ya maendeleo ya kilimo, mifugo na uvuvi idara ya mifugo wapewa siku 28 kutoa maelezo ya kina juu ya kugawiwa kwa eneo la mnada wa Pugu kwa ajili ya makazi kinyume cha sheria. https://youtu.be/aJBUbJyogCI
Wakazi zaidi ya 400 wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya wako hatarini kukumbwa na baa la njaa kufuatia ekari zaidi ya 150 za mahindi kufyekwa na askari wa maliasili kwa madai ya kuvamiwa eneo la msitu. https://youtu.be/kXx67fXW240
Wakazi wa eneo la Chanika walalamikia uvamizi wa makazi yao na watu wanaodaiwa kushirikiana na baadhi ya wafanayakazi wa wizara ya ardhi. https://youtu.be/rfVl4OQOOzM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...