x35
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Wazee wa kijiji cha Mbekenyera  wilayani  Ruangwa  wakati alipokwenda nyumbani kwa Bw. Issa Mohamed kutoa pole kufuatia kifo cha mwanafamilia  hiyo, Shari Malanda, Desemba 22, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
x36
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Mzee  Mohammed Chingwele (katikati) na mwanae  Issa Mohammed (kulia) wakati alipokwenda nyumbani kwao katika kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa kuwapa pole kwa kifo cha mwanafamilia Shari Maranda, Desemba 22, 2015.
x37
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na madiwani wa Halmashauri ya  Wilaya ya Ruangwa kwenye ukumbi wa Chama cha Walimu cha Wilaya ya Ruangwa Desemba 22, 2015. Kulia ni Mwenyeikiti wa  CCM wa Mkoa wa Lindi  Ali Mohammed  Mtopa na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Jordan Lugimbana.
x38
Baadhi ya watendaji wa Halmashauri ya Wilaya  ya Ruangwa na Madiwani  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Chama cha Walimu cha wilaya ya Ruangwa Desemba 22, 2015.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...