Mgeni rasmi Mkurugenzi wa TAMWA, Bi. Edda Sanga(kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali nchini la International Association of Women in Radio and Television (IAWRT) Tanzania Bi. Rose Haji Mwalimu wakizindua ripoti ya utafiti kuhusu mwanamke au mtoto wa kike anavyopewa nafasi hasa kwenye vyombo vya habari.
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali nchini la International Association of Women in Radio and Television (IAWRT) Tanzania Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti kuhusu wanawake wanavyopewa nafasi hasa katika vyombo vya habari hasa hapa nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...