Home
Unlabelled
Introducing new hit single by Kalapina: Magufuli Balaa!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yote katika wimbo ni ya kweli.
ReplyDeleteKama alivyosem Dr. JK kwamba Dr. JPM tumepewa na Mwenyezi Mungu.
Mimi binafsi naamini bahati haiji mara mbili, lakini safari hii nimebadilisha mawazo na kuamini kwamba bahati inaweza kuja mara mbili kama muujiza ambao weng wetu hatuwezi kufunguka macho na kuuona. Yale yaleee ya Wayahudi "Katika kijiji cha Nazareti haliwezi kutokea jambo jema"
Msije geuza kauli yenu siku akichafua hewa. Maana mteule wa Mungu hachafui hewa. mi naamini magufuli is mteule wa Mungu bali ni kiongozi maridadi, hodari, na mwenye jitihada za maadili.
ReplyDeleteUkiwa na hekima na busara utajuwa kiongozi mwenye kuwatetea wanyonge ambaye kamwe hawezi kubadilika badilika. Anony wa kwanza hapo juu kazungumzia hali ya sasa inayoonyeshwa na Mh. JPM, Anony wa pili unazungumzia mambo ya usoni. Mimi nitakupa mfano huu uliyo hai. Matharani, Mtoto wako aliyeko darasa la kwanza akiwa wa kwanza kwenye mtihani wake, Je, huwezi kumpa hongera eti kwa sababu labda afikapo darasa la saba anaweza kuwa wa ishirini? Kwa kukuheshimu anony wa pili nasema hivi kupanga ni kuchaguwa-kwa maana kwamba unaweza fanya hivyo wewe, kama wewe. Lakini ujuwe kwamba akili zako utakuwa umezikalia.
ReplyDelete