
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi
ya Rais, Tume ya Mipango (aliyekaa) akipata maelezo kuhusu namna Kituo
cha Kihansi kinavyofanyakazi kwa kutumia teknolojia ya kisasa ambayo
imeboresha utendaji kazi kwa wafanyakazi na mitambo ambayo inatumika
kuzalisha nishati ya umeme.

Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi
ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) pamoja na maofisa
kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakipata maelezo kutoka kwa
Injinia kituo cha Kidatu Bw. Yonah Mwasajone (wa kwanza kushoto) kuhusu
Sub Station ambayo baada ya umeme kuzalishwa katika mitambo ya kufua
umeme Kidatu hutumika kuuingiza katika Grid ya Taifa.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...