Inline image 1
LISTI  YA WANAMUZIKI WA SIKINDE WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI…

1.       Abdallah Dogodogo
2.       Abel Baltazar
3.       Adam Bakari
4.       Ally Makunguru
5.       Charles John “Ngosha” (2011)
6.       Chipembele Said “Bob Chipe”
7.       Fadhili Uvuruge  “Santimaa”
8.       Gaspar Kanuti
9.       George Kessy
10.   Gervas Herman
11.   Hamisi Juma “Maalim Kinyasi”
12.   Haruna Lwali
13.   John Malyanga
14.   Joseph Mulenga “King Spoiler”
15.   Juma Banduki
16.   Juma Hassan Town (1997)
17.   Kassim Mponda “De La Chance”
18.   Kassim Rashid ‘Kizunga’
19.   Kitwana Amasi
20.   Machaku Salum
21.   Michael Enock ‘Teacher’ (31-May-2006)
22.   Mohamed Banduki
23.   Mohamed Mwinyikondo (1996)
24.   Michael Bilali (1996)
25.   Mohammed Idd “Control” (2012)
26.   Muharam Saidi (1988)
27.   Muhidin Kisukari
28.   Nassir (Francis) Lubua
29.   Shaaban Mabuyu
30.   Suleiman Mwanyiro “Computer” (2002)
31.   Thomas Mamwinyi
32.   Tino Masinge ‘Arawa’

WALIOPITA KWA MUDA
1.       Omari Zumo
2.       Mohamed Shaweji
3.       Banza Tax

IMETAYARISHWA NA WILLIAM KAIJAGE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiuna. Mwenyeez Mungu warehemu wote hao waliotangulia mbele ya haki na wengineo wote waliyoitika wito wako. Waghufirie kwa yote, uwanusuru adhabusho, wahifadhi pema wanapostahili na kesho 'Yaumul Hisabu' wawe ni miongoni mwa waja wako wema watakaoingia katika yako Firdaus, In Sha Allah - AMEN.

    ReplyDelete
  2. RIP wasanii wote mliotuacha ktk dunia hii ya vurugu mechi kibao. Mimi ni msanii na napenda sanaa. Nitaendeleza mapambano hadi siku yangu itakapotimia. AMINA

    ReplyDelete
  3. Mbona Ngurumo hayupo kwenye listi hii au kwa kuwa alitoka? RIP all.

    ReplyDelete
  4. Maalim Gurumo

    ReplyDelete
  5. Lazaro Lenny jamani pia kasaulika alikuwa mpiga trampeti mzuri sana, RIP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...