Abiria wa Treni ya Reli ya kati inayofanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Kigoma, wakimuangalia mmoja wa abiria mwenzao akiwa nje ya Treni hiyo wakati ikiendelea na safari, kwa madai ya kumkwepa mkaguzi wa tiketi (TT) wa Treni hiyo.Hii ilikuwa ni mwanzoni mwa mwaka 2013.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nadhani tukisema mkaguzi wa tiketi na kuweka katika mabano (TT) haileti maana sahihi inakuwa ni sawa na kusema Train Ticket. Lakini tunaposema Mkaguzi wa Tiketi za Train (Train Ticket Examiner-TTE) ndio sahihi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...