Mgeni
rasmi mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa Kamusi ya kiswahili huku akishuhudiwa na mwenyekiti
wa TAHOSSA Taifa Bonus Ndimbo katika ghafla iliyofanyika kwemye mkutano
mkuu wa TAHOSSA jijini Mwanza.
Mgeni
rasmi akiwaonyesha wakuu wa shule nchini (hawapo pichani) kamusi kuu ya
kiswahili aliyoizindua, kushoto ni muhariri mkuu wa kamusi hiyo James
Mwilaria
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Masesa Mulongo akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Longhorn Publishers Ltd.
Meneja mauzo na msimamizi wa matangazo wa Longhorn Publishers Ltd Deisy Rono akimuonesha mgeni rasmi baadhi ya machaisho yao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...