Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi Bw.Bakari Amir pampu mbili za kusukuma maji na mipira
yake, Mwenyekiti wa kikundi cha kufyatua matofali ya kuchoma cha
Jitumecha kilichopo eneo la Gogovivu wilayani Ruangwa Desemba 23,
2015. Pampu hizo zitawapunguzia wnakikundi mzigo wa kubeba maji toka
mtoni.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi funguo na kadi ya pikipiki Mwenyekiti wa kikundi cha
Bodaboda Mkowe cha kijiji cha Nandagara, Yahya Chitanda ambayo
ameikipatia kikundi hicho Desemba 23, 2015 ili kiweze kukuza mtaji
wake.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na maofisa wa jeshi la Polisi wakati alipotembelea kituo
kikuu cha polisi zcha wilaya ya Ruangwa kusalimana na Askari Desemaba
23, 2015. Wapili kushoto ni mkewe Mary na watatu kushoto ni Kamanda wa
Polisi wa mkoa wa Lindi, Renata Mzinga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...