Mashine hiinIpo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu Tanzania na inaweza kuishi muda mrefu na ni rahisi sana kuifanyia matengenezo pindi inapo haribika... Tumeileta kutoka Denmark na haijatumika hapa Tanzania bei ni rahisi na ya faida kwani ukivuna msimu moja tu kwa kiasi cha ekari 350 utakua umerejesha hiyo hela,,. Kama ni mkulima ikikupita hii utakuja kuikumbuka kwani ni moja ya zana chache hapa nyumbani.. Mashine hii ipo MBWENI Daresalaam
BEI NI MIL..34 TSH
Tuwasiliane 0714242879 au binjaba5000@hotmail.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...