Dar es salaam, Madereva wa boda boda wakiongoza maandamano ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake jijini Dar es salaam. Maandamano hayo yalianzia uwanja wa Tipi ulioko Sinza hadi katika hotel ya Blue Pearl iliyopo Ubungo.
Dar es salaam, Ujumbe mbalimbali wa maadhimisho ya kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.
Kilimanjaro, Maandamano yakipita eneo la kituo kuu cha Mabasi cha mjini Moshi yakieekea katika viwanja vya kituo hicho ambako uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...