Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akitoka kitengo cha Macho akiongozana na Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Giliard Masenga.
Mganga mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Dkt Timoth Wonanji akichangia jambo wakati wa kikao cha mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga (kulia) alipokutana na viongozi wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC.
Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga (kulia) akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayotajwa kuwa changamoto kwa Mkuu wa wilaya ya Moshi, Novatus Makunga alipotembelea hosptalini hapo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...