WAOMBOLEZAJI
wakiwa katika msiba wa mchungaji kiongozi wa Kanisa la Pentekoste la Jumbi,
Elias Funga uliofanyika nyumbani kwake Jumbi Mkoa wa Kusini Unguja.
Waombolezaji wakiwa
katika mazishi ya mchungaji kiongozi wa Kanisa Pentekoste la Jumbi, Elias Funga
yaliofanyika Jumbi Mkoa wa Kusini Unguja.
ASKOFU
Daniel Kwilemba kutoka Kanisa la Pefa liliopo Kisauni Unguja akiweka mchanga kwenye
kaburi la mchungaji kiongozi wa Kanisa Pentekoste la Jumbi, Elias Funga,
mazishi hayo yalifanyika Jumbi Mkoa wa Kusini Unguja.
Mjane wa marehemu
mchungaji kiongozi wa Kanisa la pentekoste la Jumbi, Elias Funga, Lucia Funga
akiweka shada la maua katika kaburi la mumewe.
Mgombea Uwakilishi
Jimbo la Tunguu (CCM), Mhe. Simai Mohammed Said akiweka shada la maua katika kaburi
la mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentekoste la Jumbi, Elias Funga, maziko
hayo yalifanyika Jumbi Mkoa wa Kusini Unguja. Picha na Haroub Hussein.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...