Watoto waishio katika mazingira magumu wanaolelewa katika kituo cha Amani Center wakifurahia zawadi zilizotolewa na kampuni ya Megatrade kwa ajili ya siku kuu za Christmas na Mwaka mpya.
Meneja mauzo wa kam-puni ya Megatrade Investment ya jijini Arusha,Edmund Rutaraka akiwa na wafanyakazi wenzake pamoja na wafanyakazi katika kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira mag4umu cha Aman Center wakati alipofika kituoni hapo kukabidhi zawadi kwa ajili ya siku kuu za Christmas na Mwaka mpya. 

Baadhi ya zawadi zilizotolewa na kampuni ya Megatrade kwa watoto wao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...