SIMU.TV: Kampuni 27 za Tanzanite hatarini kufutiwa leseni kwa kutolipa bil.150. Vigogo watajwa kugawa ardhi ya Magomeni kwa Manji.https://youtu.be/APBpGvKU6mU
SIMU.TV: Waziri mkuu akoleza moto. Mbaroni kumchinja kachero TANAPA. TANESCO yakamata 235 kwa hasara ya milioni 200; https://youtu.be/aC6ZdOkKANE
SIMU.TV: Azam yaipumulia Yanga. Wasanii wamfagilia Magufuli. Kocha wa Simba abwatuka. Tegete atambia kiwango Toto; https://youtu.be/mO6gsHfXmGA
SIMU.TV: Majaliwa atema cheche Lindi. UKAWA wamshauri Rai Magufuli uchunguzi wa Natty. Madiwani 7, mbunge Kushtakiwa; https://youtu.be/t3IXYW_etL4
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...