Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu waliofika Bandari Kuu ya Zanzibar kushuhudia kuwasili kwa Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikitokea Korea kusini.
Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikiwa nje kidogo ya Bandari ya Zanzibar kabla ya kufunga gati Bandarini hapo.
Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee akitoa maelezo kwa waandishi wa Habari juu ya matumizi ya gharama zilizotumika mara baada ya kuwasili kwa Meli ya MV. MAPINDUZI II Mjini Zanzibar.
Awali ni awali hakuna awali mbovu. Kusema kweli thawabu ile M.V.MAPINDUZI original ya enzi hizoooo! ndio ilikuwa bomba, maana ilikuja kitu na box lake nikimaanisha 'brand new' kubwa na meli meli khasa! Tena nakumbuka na kanga zake zikawahi kutoka, lakini khatma yake sijuwi iliishia wapi. Sitakuwa mchoyo wa fadhila, tunashkuru kupata new version mpya ya M.V.Mapinduzi II.
ReplyDelete