Home
Unlabelled
MFUMO WA KUDHIBITI MAFURIKO TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
These are great minds, great assets TZ has. Let use these people to better our lives. Great presentation DOC.
ReplyDeleteThank you for the presentation. I hope wahusika wata-consider your expertise or at least wakupe opportunity ya kusaidia kuondoa hili tatizo.
ReplyDeleteAsante sana, keep up the good work, Dr. Sayid!
Ni wazo zuri sana lakini nina mwaswali mawili.
ReplyDeletela kwanza, ni kuhusu mahali pengine ambapo wazo hili limefanyika pamoja na mafanikio na mapungufu yake. kama ni wewe umeanzisha wazo hili duniani, si mbaya tulitekeleze tujikua ni uvumbuzi wako. kama limefanyika sehemu nyingine, basi tueleze.
la pili ni kuhusu taka ngumu. haya maji yanasafiri na taka ngumu nyingi, si kwamba ni maji yenyewe tu ndio yanakwenda. je, hizi taka ngumu hazitaadhiri huo mfumo wa kuchuja maji? na zitazuiliwaje kwenye magati?
Baada ya kuuliza haya, natoa wito kwa wizara kubuni pilot project ya huu mradi tuone kama unafaa basi utekelezwe.
Hongera sana Doctor na kheri ya mwaka mpya.
Hongera kwa taarifa yako ya kitaalamu,lakini tatizo kubwa la mafuriko sio maji kuelekea baharini,kwani mji kama Dar es salaama ulitakiwa kuwa na mtandao wa maji taka ktk kila barabara ambayo yatapeleka maji hayo baharini.Na maji ya mafuriko ni mkusanyiko wa kinyesi,mabaki ya wanyama,miili ya binadamu sio sahihi kusema yatatumika kwa shughuli za majumbani labda tu kwa umwagiliaji au matumizi ya nje pamoja na kusafishwa kwake ni gharama isiyo na sababu.Kikubwa kuondoa mafuriko ni drainage system ya kutoa maji baharini.Mfano mkubwa London wana system ya maji taka iliyokuwa connected mjimzima na kila new development inaunganishwa kwanza miundombinu hiyo.Wazo lako zuri lakini sio jibu la kuzuia mafuriko bali itawezekana endapo kutakuwa na mdandao wa kukusanya maji kila mtaa na kuleta ktk system yako ambayo sasa haipo hivyo.
ReplyDeletecongrats .....it seems useful
ReplyDeleteGreat presentation indeed. However the Dr fails to address what must be done to arrest the massive tonnage of debris such as plastics and others wastes that are liberally thrown all around the city which would instantly block any system including the one he proposes. The Ministry of environment must also be brought on board.
ReplyDeleteShukran Dr. Sayid kwa wazo lako, kumjibu mtoa maoni watatu, ni kwamba hii system zipo
ReplyDeleteSehemu nyingi duniani ili ku control mafuriko ya maji wakati wa mvua. Mfani ni mji wa Miami, nimeziona system kama hizi baada kujengwa ziliondoa mafuriko katika sehemu nyingi sana. Kitu kimoja Dr. Sayid aneweza kuongeza ni pamoja na hayo magate ya ku control maji, pia kujengwa canals pande zote mbili za mto. Hizo canal zitasaidia pia kupunguza maji kwa wingi kotoka mtoni. Na hizo canal pia zinaelekea baharini. Idea ya Dr. Sayid ni nzuri sana lakini utekelezaji wake na ku maintain project kama hii si rahisi jinsi tunavyowajuwa wa Tz. Shukran kwa Idea.
Mdau wa Maryland
Asante sana Sayid.
ReplyDeleteTunaomba serikali yetu iangalie mawazao ya Mtanzania mwenzetu
Nakupongeza Dr. Sayyid kwa presentation yako, nimesoma kwa makini na nakubaliana na wewe kwa asilimia 100, Ila jambo moja ningeshauri kuwa watu wote waliojenga pembezoni mwa mito wahamishwe kwa sababu hao ndiyo wanaotupa taka ngumu hivyo wakiondoka kutakuwa na unafuu kwa kupunguza idadi ya taka ngumu. Ni jambo zuri kutumia hayo maji kwa matumizi ya kawaida baada ya kuyachuja (napenda kumtoa hofu mtoa maoni hapo aliyesema maji yatachanganyika na uchafu wa masalia ya miili ya wanyama, binadamu na uchafu wa chooni; Kwenye mfumo wa usafishaji maji hakuna uchafu kama huo utakaobaki ina maana usafishaji utakaofanyika utakuwa kwa asilimia 100). Lingine ambalo ningeshauri ni kuwa hayo maji yanayoelekea baharini tusiyaruhusu tuyakinge kwenye bwawa (dam) na kujenga system ya umeme (micro-hyro electric dam) karibu na yanapoingilia baharini halafu tufanye recycling ili yaendelee kutumika yote. DR.Sayyid tunahitaji wazalendo kama wewe katika nchi yetu.
ReplyDeleteIdea ni nzuri Dr Sayid, tatizo ni kwamba URASIMU ULIOPO SERIKALINI mradi kama huu hauwezi kupita, kwanza kumbuka Mafuriko ni balaaa kwa wengi bali ni neema kwa wachache. Kule Jiji kuna watu wangependa mafuriko yaendelee kila wakati ili wapate tenda za kujenga upya miundo mbinu, nk na kupiga 10% kama sio 50%. Hii ni kama mgao wa umeme hautakaa uishe kwani kuna watu wananufaika nao. Tumsaidie Rais wetu kutumbua majipu kwanza yakipungua ndiyo tufikirie project hizi muhimu kwa nchi yetu.
ReplyDeleteGreat presentation. Debris collection is easy can be added to this project along the pathway by stationing strainers to capture debris while allowing water to pass freely.we can add ideas to this project.unnecessary criticism has no place here.
ReplyDeleteDr Said thanks kwa presentation idea ni nzuri na inatekelezeka ila nafikiri ungeenda ndani zaidii inahitaji kujua wingi wa maji kutoka kwenye catchment areas husika na takwimu nyingine za kitaalamu (hydrological data) hizi zitakuwezesha kuja na river modelling ambayo hata ukimwonyesha mwanasiasa au decision makers ataweza kuelewa kwa rahisi, pia solution yako ianzie majumbani kupunguza flow za maji kwa kutumia uvunaji wa maji na kuwa na mifereji mbadala (sustainable drainage) nk.
ReplyDeletedr Said kazi nzuri ongeza mambo ya river modelling data zipo za kutosha ili kupima kama idea yako itafanya kazi. na pia kwa kufanya hivyo utawashawishi watoa maamuzi kwani wengi bado wanfikra za zamani.
ReplyDeleteHii ni Makala ya Kitaaluma. Ni documentary inayolenga kujenga hoja ya kitaaluma.
ReplyDeleteReference zako ni:
1.'GOOGLE BLOG'
2.'ISSA MICHUZI' NA
3.'OTHER BLOGS'
Hizo ni reference za picha kama sikosei... au wewe ulitaka zipi si uwasiliane na jamaa katoa email yake hapo mwisho.
ReplyDeleteDr Said tunashukuru kwa kuweza kuweka post zuri yakuweza kuelemisha jamii katika njia mojawapo ya kuweza kupunguza au kuondoa adhari ya mafuriko ya Dar es Salaam na sehemu zinginezo hapa Tanzania. Serikali ilishafanya study ya kuweza kupunguza matatizo ya mafuriko na katika recommendation zilizotelewa na wataalamu. Hiyo system ya flood control uliyo propose ni mojawapo ya systems ambazo zimeshakuwa design na location zilishakuwa identified kwa jiji la Dar es Salaam. Kwenye hiyo study ambayo ilikamilika 2012 kulikuwa na recommendations nyingi pamoja na kuwa na collection points nyingi za solid waste hili matakataka yasiingie katika drainage channels.
ReplyDeleteTatizo la Tanzania ni implementation. Design ilishafanyika lakini bado kuifanyia kazi.
Mimi nimeangalia city plan na sikuona njia ya kuzuia mafuriko kama aliyoielezea dr hapo kwenye presentation zaidi ya kutumia LID approach ambayo inaelekeza katika kuweka maeneo hayo yawe bila nyumba. Labda iongezewe baada ya hii presentation. Tunaomba wahusika waangalie hili linaweza kutusaidia.
DeleteKama "reference" ni za picha basi angetakiwa kusema "PHOTO CREDIT" si REFERENCES. Ukisema 'REFERENCE' unamaanisha rejea ulizosoma wakati wa kujenga hoja ya kitaaluma, si picha.
ReplyDeleteHata hivyo, nampongeza kwa hili wazo. Hata kama lisipokuwa 100% possible, jitihada za mtanzania mwenzetu kutumia elimu yake kutatua tatizo lililo wazi kwenye jamii lazima ziungwe mkono. Ni kwa namna hii nchi yetu itaendelea.
Ahsante.
"unnecessary criticism has no place here." observes some myopic annony above! Any reknown scholar would invite criticism to widen his/her perspective. I believe that is what Dr Sayid has strived to do. Anybody offended by criticism has obviously not divulged in scholary work. Dr Sayid has done well. He should indeed be commended but but so should critics who want to perfect his ideas. The Dr was kind enough to invite critics. That's what scholars do.
ReplyDeleteDoktari pongezi nyingi kwako kwa creativenessyako katika kuleta idea hpa nyumbani. Haina tija hata kama idea ni ya ku copypahala ili mradi ina uhusiano wakiutekelezaji kwa hapa kwetu. Hii ndo tunaiita constructive criticism katika innovative idea yako. popote pale kwenye educative idea kama hii lazima kunakuwa na critic kama hizi. Najua wewe ni msomi na utachukulia hiz kama ni ujengaji na si vinginevyo! Watanzania kwa kutumia lugha yetu ya Kiswahili tuweze mara kwa mara tuwaeleweshe umma juu ya mambo tofauti duniani. nimeipenda sehemu ya mwisho ya presentation yako pale unapokuwa opportunistic kuwa "kama wazo hili likiwa mradi" Kwa ushauri pia jaribu kupeleka wazo hili katika source nyingine kama vile Universities na hata Organizations zinazokuwa na interests na maendeleo haya!
ReplyDeleteVery good presentation Dr. Lakini umesahau am nadhani hufahamu tatizo lingine linalosababisha maji mijini ni watu kufungulia vyoo vyao pale wakiona mvua zimeanza kunyesha. Mvua ikinyesha kwa nusu saa tu watu wanafungulia vyoo vyao na kuelekeza kinyesi chote barabarani. Kuna maendeo hata mto Mbezi wala mto Msimbazi haupiti lakini ghafla huwa yamefurikwa mara tu mvua zikianza kunyesha. Ukijumlisha na tatizo la mifereji kuziba basi ndiyo huwa balaa zaidi. Ila wazo lako kama serikali italifanyia kazi litasaidia kwa kiasi kikubwa ila tu ni hayo maji yaliyochanganyika na kinyesi, sijui kama tuna teknolojia ya kusafisha kinyesi kuwa maji safi.
ReplyDeleteOnly fools don't tolerate criticism. Dr umefanya vyema sana kukatibisha wenye mawazo mbadala ama yakuboresha presentation yako. Nimejifunza mengi. Adha hata mawazo mengine hapa katika mjadala naamini yatasaidia. Wanaopinga mawazo tofauti ni miongoni mwa wale ambao wamedumaza kukua kwa sayansi na teknolojia barani Afrika. Hongera sana kwa kuibua mawazo hayo na mjadala huu.
ReplyDelete