STAR TV: Gwajima aibuka amkana Lowassa, JK akataa nyumba, Magufuli apokea ripoti ya Zanzibar, Magufuli aibua hofu serikalini. Tazama uchambuzi wa kina wa magazeti.https://youtu.be/ISjhdGiq2Fk
CH10: Waziri mkuu kufanya ziara Kigoma, Prof. Lipumba awa gumzo London, Magufuli azua hofu serikalini, Gwajima amkana Lowassa. https://youtu.be/Nuj5jY8k27Y
AZAM TV: Yanga ya paa, Manchester united yazama, Simba yabanwa, Mashali afuta ufalme wa Cheka moro, Chelsea yashikwa, Leicester City yazimwa, Samatta kimeeleweka ulaya. Fuatilia habari za magazeti ya michezo.https://youtu.be/8eVa2A6ry3s
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...