![]() |
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kushoto) akikabidhi tuzo mbalimbali kwa baadhi ya washindi katika nafasi anuai kwenye hafla ya Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards 2015) iliyofanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc ashinda Tuzo ya Biashara 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...