Kampuni ya Mawakili ya Yakubu & Associates Chamber usiku wa jumamosi wamezawadiwa tuzo mbili za Mwajiri Bora wa Mwaka 2015 na Chama cha Waajiri Nchini (ATE). Pichani juu ni vikombe vilivyozawadiwa kwa Yakubu & Associates Chamber kama Mwajiri Bora wa Mwaka 2015 Biashara za Kati
Wadau wa Kampuni hiyo, Meneja wa Fedha, Husna Mkony,Naibu Mtendaji Mkuu (Biashara) Dr Timothy Kyepa(kati) na Meneja Utumishi na Rasilimali watu Ibrahim Pius,
Wakili Mtendaji, Saidi Yakubu akinyanyua juu vikombe walivyoshinda kama Mwajiri Bora wa Mwaka 2015. Picha kwa hisani ya Yakubu Chambers.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...