
Mkuu wa Wilaya ya Iringa akipokea maelezo toka kwa Mshauri wa Mgambo wa Mkoa Luteni Kanali J. Kitita

Mkuu wa Wilaya Bwana Richard
Kasesela akiongea na wana Mgambo na kuwaasa kuwa waaminifu kwani wao
ndio walinzi namba moja katika nchi kwani wao wako karibu sana na
wananchi. pia Mkuu wa wilaya alisistiza suala la usafi kama nguzo moja
wapo ya uadilifu.

Mkuu wa wilaya akizindua mafunzo ya shabaha. alifanikiwa kulenga 10 kati ya 30 zilienda kwenye shabaha
Mkufunzi wa mafunzo akihesabu shabaha.

Mkuu wa wilaya akionyesha jinsi ya kutumia SMG
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...