Mkuu
wa Wilaya ya Uvinza Mrisho Gambo akishirikiana na wanakijiji cha
Mazungwe kilichopo kata ya kazuramimba Wilaya ya Uvinza kuchimba msingi
wa zahanati ya kijiji hicho.Picha na Editha Karlo wa Globu ya Jamii Kigoma.
Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofali kwa ajili ya ujenzi wa msingi wa zahanati ya kijiji chao
Sehemu ya msingi imekamilika,inafuata hatua ya awali ya ujenzi zahanati hiyo ya kisasa katika kijiji cha Mazungwe
Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofali kwa ajili ya ujenzi wa msingi wa zahanati ya kijiji chao
Zahanati iliyokuwa inatumiwa na wananchi wa kijiji cha mazungwe Wilayani Uvinza
Wanakijiji wakiendelea na Kazi ya kuchimba msingi inaendelea kwa ajili ya zahanati ya kisasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...