Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Luhaga Mpina (aliyekaa mbele), akizungumza na baadhi ya watendaji wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakati alipotembelea kwa mara ya kwanza Makao Makuu ya Ofisi ya Baraza hilo jijini Dar es Salaam leo. 
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Luhaga Mpina (aliyekaa mbele), akisisitiza jambo kwa Wafanyakazi wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), wakati alipofanya Ziara yake ya kwanza katika Makao Makuu ya Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukagua utendaji pamoja na kujitambulisha kwa Baraza hilo. 
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Luhaga Mpina (aliyekaa katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakati alipofanya Ziara yake ya kwanza kwenye Makao Makuu ya Ofisi hizo jijini Dar es Salaam leo. (Picha na OMR)
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Bwana Bonaventure Baya (aliyesimama), akizungumza wakati wa kumkaribisha kwa mara ya kwanza Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Luhaga Mpina (aliyekaa mbele) wakati alipofanya Ziara yake katika Makao Makuu ya Ofisi hiyo kwa ajili ya kujitambulisha na kuangalia utendaji wa Baraza hilo. (Picha na OMR) .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...