Naibu Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jaffo akishiriki zoezi la
kuwapima uzito mmoja wa watoto waliokuwepo katika kituo cha Afya Bahi
baada ya kufanya ziara ya kukagua utoaji Huduma za afya katika wilaya ya
Bahi, Mkoani Dodoma.
Naibu waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jaffo akizungumza na
wagonjwa Mara baada ya kukagua wodi ya akina mama katika Kituo cha afya Bahi.
.baadhi ya wakuu wa idara katika halmashauri ya bahi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...