Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya, mapema mchana wa leo limekamata Magogo ya mitiki 1418 katika kijiji cha Chimbuya wilaya ya Mbozi yalikokuwa yamehifadhiwa tayari kwa kusafirisha, Pichani kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Ahmad Msangi akiangalia magogo hayo baada ya kuyakamata.
Sehemu ya Magogo ya mitiki 1418 yaliyokamatwa katika kijiji cha Chimbuya wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...