Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala akielekea katika hospitali ya Amana leo jijini Dar es Salaa mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
        Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na            Watoto, Dkt.  Khamis Kigwangala akizungumza na wauguzi aliowakuta katika          hospitali ya Amana leo alipotembelea katika hospitali hiyo jijini Dar es                                                                                      Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...