Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja yenye maskani nchini ujerumani inawatakieni kila la heri katika siku kuu ya Maulid el Nabii Muhammad(S.W.A) pia Heri ya siku kuu ya Krismasi kwa wadau wote iwena amani,upendo,furaha na mshikamano bila kusahau kupata muziki at www.ngoma-africa.com au www.reverbnation.com/ ngomaafricaband
jumuika nao at www.facebook.com/ ngomaafricaband
Asanteni sana FFU-ughaibuni aka watoto wa mbwa ngoma africa band chini kamanda ras makunja mkuu wa mazimwi wa Anunnaki aliens
ReplyDeletekweli kikosi kazi mnatisha full gwanda haya basi tunasubiri mzigo mpya 2016
ReplyDelete