Home
Unlabelled
Nyumbani na Diaspora With CSI: Unalijua Kungu La Udele? Ndio Uchungu Mwanamke Anapojifungua, Wengine Wanalipa Fedha Kulikwepa, Wasikilize Wakunga Wazoefu Wanavyolielezea..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"...Hongera mwanangu eeh, hongera mwanangu oee, hongera mwanangu kungu la udele lina uma mno oooea...."
ReplyDeleteHahahaha mdau wa mwanzo hapo juu fikra zako hazikuwachana kabisa na zangu, mana hata nami nliuwazia huo wimbo "...mama usungu, mama usungu, nyamala mwanangu, oyee!!!, nyamala mwanangu kungu la udele linauma mno we hoyeee!!! eee linauma mno weee, hoyeee linauma mno wee hoyeee!!!!..." Yaani imefanya nikumbuke utotoni kwa kweli, I think huo wimbo was a sign tune ya kipindi fulani kama sikosei RTD enzi hizoooo!
ReplyDelete