Leo tarehe 28 Desemba, Profesa Mark Mwandosya amesherehekea kufikisha miaka 66 tangu kuzaliwa. Amesherehekea sikukuu yake hiyo akiwa kijijini kwake Lufilyo, Busokelo Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya. Anamshukuru Mwenyezi Mungu na Watanzania wenzake kwa baraka anazoendelea kupata.
Profesa Mark Mwandosya akiwa akijiandaa kukata keki ya asili pamoja na maandazi wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 28 Desemba, akiwa pamoja na ndugu zake ambao walimtayarishia keki hiyo.
Profesa Mark Mwandosya akilishwa kipande cha keki na Mkewe, Mama Lucy Mwandosya wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 28 Desemba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...