Mkurugenzi wa Kituo cha Mkubwa na Wanawe Said Hassan maarufu kwa jina la Mkubwa Fella leo amekula kiapo cha kuwatumikia wakazi wa Kata y Kilungule kwa ngazi ya Udiwani. Baada ya kula kiapo hicho Fella alikua na haya ya kuzungumza "Kwanza nashukuru Mungu pili Wadau wangu wotekwa Kata yetu ya Kilungule, na Tasnia yetu ya sanaa nawashukuru wasanii wote walio nisapot pia namshukuru sana rafiki wetu wa wasanii Mh Jakaya Kikwete na Rafiki yangu January Makamba".
Home
Unlabelled
SAIDI FELLA ALA KIAPO CHA UDIWANI KATA YA KILUNGULE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...