Ndugu zangu,
Jana umezinduliwa pale Johannesburg, mtandao wa mabloga 18 wa Sub-Saharan Africa; #AfricaBlogging . Ni mtandao wa mabloga wa kimataifa utakaohusika zaidi na masuala ya kukuza demokrasia na uwajibikaji kupitia kazi za kublogi. Nimebahatika kuwa mmoja wa mabloga hao nikiwa na pia mjumbe wangu Chambi Chachage, tukiwakilisha Tanzania. Ukiwa na muda soma makala yangu ya kwanza kwenye mtandao huo;http://www.africablogging.org/time-for-girls-football/
Home
Unlabelled
Mjengwablog Kwenye Mtandao Mabloga 18 Afrika Uliozinduliwa Johannesburg...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...