Moja ya barabara zitakazotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka (BRT).
Moja ya vituo vitakavyotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka pindi mradi utakapo kamilika kwa ajili ya kubeba abiria.




Kituo cha mabasi yaendayokasi cha Kangwani jijini Dar es Salaam ikiwa ni moja ya vituo vitakavyotumika na mabasi hayo tarehe 10 Januari, 2016.

Mabasi yaendayo kasi yakiwa tayari kwa kuanza safari za kubeba abiria ifikapo tarehe 10 Januari, 2016. 
Picha zote na Abraham Nyantori - MAELEZO



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal Michuzi, tunaomba utuwekee maendeleo ya daraja la Kigamboni, ni karibu miezi sita sasa hatujasikia chochote kuhusu mradi huo. Sisi wengine tumewekeza huko tunasubiri kwa hamu sana kujua huo mradi unaendeleaje. Nafuatilia magazeti karibu 9 na blog zenu kila siku, lakini cha kushangaza hamsemi chochote kuhusu huo mradi wa daraja na barabara zinazounganisha kwenye mradi huo. Tuletee hata picha tuu basi. Shukran.

    Mdau wa Maryland

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...