SIMUTV: Baadhi ya familia wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma zinahangaika kutafuta pesa kwa ajili ya kununulia vyakula kufuatia kupanda kwa gharama za maisha; https://youtu.be/PFFhDlgHT1g
SIMUTV: Chama cha ushirika cha wakulima wa korosho mkoani Lindi kimesema mfumo wa stakabazi umewawezesha kunufaika na zao hilo:https://youtu.be/8pEeK_f2S7g
SIMUTV: Baadhi ya madereva pikipiki waiomba TRA kuwapatia elimu juu ya kubadilishwa kwa namba mpya za pikipiki: https://youtu.be/QJzL6mviErI
SIMUTV: Benki ya wanawake Tanzania kwakushirikiana na mipango miji wamewakwamua wanawake kwa kuwapatia mikopo ya viwanja:https://youtu.be/WQR4YZi_g0A
SIMUTV: Wakazi wa mkoa wa Njombe wailalamikia serikali kutokana na mkandarasi kusababisha uharibifu wa mazingira katika maeneo yao:https://youtu.be/Mq6cynfpt_8
SIMUTV: Baadhi ya vijiji vilivyo karibu na ziwa Tanganyika vyakabiliwa na tatizo la maji na kupelekea kutafuta maji kutoka umbali mrefu:https://youtu.be/sdwovGOD-Ls
SIMUTV: Watoto wasio na wazazi na wanaozaliwa na virusi vya ukimwi waelezwa kukumbwa na matatizo kufuatia jamii inayowazunguka kuwatenga:https://youtu.be/KAnfcct5zVA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...