SIMU.TV: Wananchi wameaswa kuwa waadilifu kipindi hiki cha sikukuu na kudumisha sala kila siku badala ya kusali siku za sikukuu pekee; https://youtu.be/yb5nfF5p1Lw
SIMU.TV: Wadau wa soka wasema kufungiwa kwa viongozi wa FIFA Blatter na Plattini hakutaathiri misaada ya michezo kwa nchi za Afrika; https://youtu.be/YxTar3tzgBM
SIMU.TV: Rais Magufuli ametoa misaada ya vyakula katika vituo vya watoto yatima na watoto wenye ulemavu mkoani Kagera; https://youtu.be/MFtmYmoPWgs
SIMU.TV: Uwepo wa changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa mashabiki na imani potofu miongoni mwa wazazi vyaeleza kusababisha kudorora kwa kandanda upande wa wanawake; https://youtu.be/glJKgy2riiY
SIMU.TV: Wakulima wa kujitegemea wa tumbaku waitaka serikali kuingilia kati uamuzi wa bodi ya tumbaku kuwafuta wakulima binafsi katika bodi na kuwataka wakulima hao kufanya ushirika;https://youtu.be/H4HdmVVmsKw
SIMU.TV: Katibu wa hospitali Zanzibar alaani wizi wa vitendeakazi katika vituo vya tiba na kueleza kuwa vitendo hivyo vinarudisha nyuma maendelea ya huduma katika hospitali; https://youtu.be/CYIFhWdCpuA
SIMU.TV: Chama cha wafugaji kanda ya ziwa kimeitaka serikali kuwaingiza wafugaji kwenye bajeti ili kukuza uchumi wa taifa; https://youtu.be/-Se09D-zoSE
SIMU.TV: Wazazi wametakiwa kutatua tofauti zao ili kupunguza ongezeko la watoto wa mitaani; https://youtu.be/7cib6LRMQ9o
SIMU.TV: Hali ya usafiri yazidi kuwa tete katika kituo cha usafirishaji Ubungo hali inayosababisha abiria kupata usumbufu; https://youtu.be/O4Q7IoqGpbA
Tumbueni waheshimiwa tumbueni, sisi sala kila leo, misikitini, makanisani, makazini,safarini na popote tulipo. SAFISHENI, nchi ilinuka hii.
ReplyDelete